Pages

Sunday, May 30, 2010

siasa za Tanzania

Wadau nimrkuwa nikifikiria kwa muda sasa ni lini Watanzania tutakuwa na uchu na upendo na nchi yetu. Ni nchi ya wendawazimu tu na vichaa ndo mtu anaweza kuisababishia hasara ya mabilioni nchi yake alafu anakula vizuri rumande kwa miaka miwili, anatumia pesa nyingi kuhakikisha anashinda kesi na anafungwa miaka miwili aendelee kula kodi ya wananchi, mwisho akate rufaa kwa pesa za wafuta jasho.
Nina ndoto kwamba siku moja tutapata kiongozi ambaye atakuja kurekebisha haya.

Monday, May 3, 2010

Corruption in Africa-the way to its end


If there is any Country that Tanzania should emitate on the way to end corruption is Rwanda and Botswana. In Rwanda Kagame restricted the use of car that has more than 2300cc in order to reduce the consumption of fuel. recently he stopped expensive cars that are used by donor projects insisting that he might also stop them from working in Rwanda as he has not seen the impact of millions of projects that has been operating in rwanda. Tanzania needs somebody one like Kagame if we real need to bring about development. We have witnessed dissapearing of aggressive people like the Late. Edward Sokoine  who was always aiming at helping his Community. look most of politicians children they are now replacing the positions of their fathers. I have a dream that one day people will get fed up and tied of stupid politics that do not bring any changes to community. I used to work with NGOs they are supposed to be the watch dog for the government and direct it to the right direction, but since they are also suffering with lack of transparency, accountability , commitment they can not claim to be the watch dog. lets work together as Tanzanian academician and use our tallents to bring about changes in economic, politics, social etc.

Sunday, May 2, 2010

wakati mwingi nimepata kuulizwa na watu umesoma mambo ya maendeleo lakini unafundisha chuo cha uhasibu. hii inakuwaje au unawadanganya wadogo zetu.? au unakuwa kama yule mwaalimu wa square roots???? jibu ni kwamba ninafundisha development studies na management. kwa hapa tunaita supporting subjects. nafikiri wengi mna jibu sasa.

Hii Mei Mosi ya mwaka huu ilifana kweli pamoja na matatizo waliyonayo wafanya kazi lakini walifurahia. Makampuni ya vinywaji nayo hayakuwa nyuma kuwashukuru wateja wao kwa kuwasaidia kuendelea kuwa katika biashara kwa mwaka uliokwisha. nami nilibahatika kunywa soda japo sikuruhusiwa kwenda na chupa.

Mei Mosi na wafanyakazi -mbeya


Hii Mei Mosi ya mwaka huu ilifana kweli pamoja na matatizo waliyonayo wafanya kazi lakini walifurahia. Makampuni ya vinywaji nayo hayakuwa nyuma kuwashukuru wateja wao kwa kuwasaidia kuendelea kuwa katika biashara kwa mwaka uliokwisha. nami nilibahatika kunywa soda japo sikuruhusiwa kwenda na chupa.