Pages

Sunday, May 2, 2010

Mei Mosi na wafanyakazi -mbeya


Hii Mei Mosi ya mwaka huu ilifana kweli pamoja na matatizo waliyonayo wafanya kazi lakini walifurahia. Makampuni ya vinywaji nayo hayakuwa nyuma kuwashukuru wateja wao kwa kuwasaidia kuendelea kuwa katika biashara kwa mwaka uliokwisha. nami nilibahatika kunywa soda japo sikuruhusiwa kwenda na chupa.

No comments: