Pages

Wednesday, April 7, 2010

karibuni wadau

Wadau katika magazeti tando. nachukua fursa hii kuwakaribisha katika gazeti langu tando kujumuika nami katika kupeana taarifa na kuelimishana. huu ni uwanja wa watanzania na wasiyo watanzania wenye nia na mapenzi mema na nchi yetu. kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko katika jamii yetu. mabadiliko hayo yaweza kuwa ya kiuchumi, kijamii, kitamaduni na kisiasa

1 comment:

MBOGELA, Jackson said...

Asante tumeshakaribia, napenda pia kukupongeza kwa hatua uliyochukua ya kushare knowledge yako na dunia kupitia mtandao karibu sana kwenye ulimwengu wa kublog. Hakikisha una waupdate wateja wako daily maana tukipita siku mbili tutakakukosa hatuji tena. Nakutakia kila la kheri