Pages

Thursday, April 8, 2010

vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika

Wadau nimekuwa nikijiuliza kila siku kwa nini mara nyingi vita vya nchi za kiafrika haviishi? na kwanini nchi ninazopigana ni zile zenye rasilimali muhimu kama vile mafuta na madini kwa wiki angalia Sudan, Nigeria, Kongo, nchi zote hizi zina rasilimali nilizozitaja hapo juu. na mara nyingi kuna nchi inakuwa nyuma ya vita hivyo . wadau naomba mchango wenu kuhusu hili.

No comments: