Wadau jpili ijayo kutakuwa na matembezi kwa ajili ya kutafuta namna ya kutatua matatizo ya maji ulimwenguni. Tuchukue fursa hii kujitadhimini shughuli zetu zenye kuharibu vyanzo vya maji na kuweka mikakati ya kufanya vyanzo hivyo viwe endelevu. tunatakiwa kujiuliza wapi tumetoka, tupo wapi na tunakwenda wapi katika swala la utunzaji wa vyanzo vya maji.
No comments:
Post a Comment