Pages

Monday, April 19, 2010

Kuchangia njaa na mafuriko hapana ila CCM tunachangia

Wadau hii sijui imekaaje, CCM badala ya kuhamasisha wananchi wachangie shughuli za maendeleo kama vile Afya, Elimu na Kilimo wenyewe wapo mstari wa mbele kuchangia pesa za uchaguzi. mimi ningefikiri wangehamasisha wananchi kuchangia maafa kilosa, Mbagala na matatizo mengine ya kijamii. Tuamke sasa tuache kuchangia chama, harusi na tuchangie maendeleo. Mimi nimeaanza tayari kwa kuwapeleka watoto kama 3 hivi course ya Procurement and stores administration. Natoa onyo kwa watakaokuja kwangu sitachangia Harusi wala chama chochote eti pesa za uchaguzi.

No comments: